Mark 14:9

9 aAmin, nawaambia, mahali popote ulimwenguni ambapo Injili itahubiriwa, jambo hili alilolitenda huyu mwanamke litatajwa pia kwa ukumbusho wake.”

Yuda Akubali Kumsaliti Isa

(Mathayo 26:14-16; Luka 22:3-6)

Copyright information for SwhKC